UJERUMANI,SERBIA ZANG'ARA EUROPA(MATOKEO YA MECHI ZOTE HAYA HAPA)
Thomas Muller ndiye aliyefungua
karamu ya magoli kwa
upande wa Ujerumani kwa kupachika goli la kwanza katika dakika ya 12 na
baadae Mario Gotze naye akafunga magoli mawili katika dakika ya 19 na
82.
Goli pekee la Poland lilifungwa na Robert Lewandowski katika dakika ya 36.
Nayo timu ya Taifa ya Ugiriki ikajikuta ikifungwa goli 1 na Finland.
Goli pekee la Finland lilifungwa na Joel Pohjanpalo katika dakika ya 74.
Matokeo mengine ya mechi zilizochezwa hapo jana haya hapa chini
Maoni
Chapisha Maoni