MURRAY ATINGA 16 BORA US OPEN (PICHA)

Image result for MURRAY US OPEN
Andy Murray atinga hatua ya 16 bora kwa kumfunga Thomaz Bellucci katika michuano ya US open inayoendelea nchini Marekani.
Muingereza Andy Murray amepata mafanikio mepesi katika michuano ya US Open mnamo raundi ya nne baada ya kumcharaza mfululizo Mbrazili Thomaz Bellucci.

Image result for THOMAZ BELLUCCI US OPEN
Thomaz Bellucci aliyeambulia patupu kwa Andy Murray katika pambano la US Open
Murray alikuwa akihitaji seti tano kushinda duru yake ya awali lakini kwa ushindi wa seti 6-3 6-2 7-5 mjini New York ulifanya mambo yawe mepesi kwake.
Image result for MURRAY US OPEN
Andy Murray katika heka heka za kusaka ushindi
 Kwa ushindi huo atakipiga dhidi ya Kevin Anderson wa Afrika ya Kusini katika hatua ya kumi na sita bora siku ya jumatatu.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii