UJERUMAN YAPIGA MTU 3-2 EURO

Thomas Müller celebrates with team-mates after scoring for Germany against Scotland.
 Ujerumani imeitandika 3-2, Scotland ikiwa nyumbani kwao katika uwanja wa Hampden Park kwenye mechi ya kufuzu Euro 2016 iliyofanyika usiku wa kuamkia leo.
Mabao ya Ujerumani yalifungwa na Thomas Muller mawili na Ilkay Gundogen moja, wakati ya Scotland yalifungwa na Mats Hummels aliyejifunga na James McArthur.

Mshambuliaji wa Ujerumani, Thomas Muller akishangilia baada ya kuifungia timu yake ya Ujerumani.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii