UFARANSA YAICHAPA 2-1 SERBIA

Mshambuliaji wa Ufaransa, Olivier Giroud akimiliki mpira mbele ya beki wa Serbia, Ivan Obradovic katika ushindi wa 2-1 jana kwenye mchezo wa kirafiki.
Ufaransa imeweza kuilaza Serbia kwa jumla ya mabao 2-1 katika mchezo uliofanyika jana usiku wa kuamkia leo ukiwa ni mwendelezo wa mechi mbalimbali za kirafiki.Katika mpambano huo wa kukata na shoka mabao ya Ufaransa yaliwekwa kimyani na mshambuliaji maarufu wa klabu ya Arsenal inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza Olivier Girroud na Blaise Matuidi, wakati la Serbia lilifungwa na Aleksandar Mitrovic mjini Bordeaux.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii