SCHWEINSTEIGER AIGHARIMU MAN UTD EURO 6.5m TU!



Bastian Schweinsteiger’s boyhood club, TSV 1860 Rosenheim, wameweka wazi kuwa Manchester United imeilipa Bayern Munich £6.5m tu kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujeruman wakati huu wa kiangazi. Ilikuwa imeripotiwa kuwa United itatoa £12m wakati wa kiangazi kwa kiungo huyo mwenye miaka 31 ambaye alikuwa amebakisha mkataba wa mwaka mmoja na mabingwa wa Bundesliga.
Hata hivyo, United tayari wameshalipa nusu ya gharama hiyo kwa Bayern kutokana na taarifa iliyotolewa na Kepteni wa klabu hiyo.
“Uhamisho umelipiwa zaidi ya €9m (£6.5m),” klabu ilitangaza kupitia mtandao wao maaalumu.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii