RATIBA EPL (CHELSEA, ARSENAL USOKWA USO)


Mechi katika viwanja mbalimbali wiki hii zitaendelea huku katika ligi ya Uingereza ambapo siku ya kesho takribani viwanja 7 nyasi zitakuwa zikiwaka moto mpambano mkubwa unaosubiliwa kwa hamu ni ule wa mabingwa watetezi wa ligi hiyo Chelsea na watani wao wa jadi Arsenal
katika uwanja wa Stamford Bridge huku wengi wakijiuliza je Chelsea ataendelea kupoteza mechi zake katika ligi kuu na je Arsenal atakubali kufungwa mechi ya pili mfululizo mara baada ya kupoteza siku ya jumatano katika UEFA mbele ya Dynamo
 
Jumamosi, Sep 19 2015

2:45 Chelsea vs Arsenal

5:00Aston Villa vs West Brom Albion
 

5:00 Bournemouth vs Sunderland

5:00Newcastle United vs Watfold
 

5:00Stoke vs Leicester

5:00Swansea vs Everton


7:30 Man City vs West Ham
 

Jumapili, Sep 20 2015

3:30 Tottenham vs Crystalpalace

6:00Liverpool vs Norwich
 

6:00Southampton vs Man Utd

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii