MKUTANO MKUU TFF KUFANYIKA DESEMBA 10 NA 20





KIKAO cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kilichokafanyia Septemba 6 mwaka huu kimepanga tarehe ya Mkutano Mkuu wa shiriisho hilo.
Kamati ya Utendaji ya TFF imeamua Mkutano Mkuu ufanyike Desemba 19 na 20 mwaka katika ukumbi ambao utatajwa baadaye.
Ajenda za Mkutano huo Mkuu zinatarajiwa kutajwa baadaye kwa mujibu wa Katiba ya TFF.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii