FC POTO YALA KIPIGO MBELE YA BAYERN 6-1

Klabu ya bayernmunich ya nchini ujerumani usiku wa leo imefanya kufuru baada ya kuiangamiza klabu y FC PORTO jumla ya mabao 6-1.
 Katika mpambano huo uliokuwa ukisubiliwa kwa
hamu kubwa na wapenzi wa soka duniani kote kuona nini kitatokea baada ya mchezo wa kwanza poto kushinda 3-1, hali ilikuwa tofauti na wengi walivyodhania. Mabao ya bayern leo yametiwa kimyani na Thiago, Boateng, Lewandowski 2, na Alonso huku bao la Poto likifungwa na Jackson.

Ikiwa ni kipindi cha kwanza tu bayernmunich walikuwa wakiongoa kwa jumla ya mabo 5-0 yaliyokuwa yamewekwa kimyani na 

hadi mpira unamalizika bayernmunich walikuwa kifua mbele kwa mabao 6-1 hivyo kufikisha jumla ya mabao 7-4 na kusonga mbele hatua ya nusu fainali ambapo watakutana na Barcelona iliyoifunga PSG jumla ya mabao 5-1 kwa mechi zote mbili. 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii