MANCHESTER UNITED YAMUACHIA FRETCHER-ASAINI WEST HAM
Darren Fletcher ameelekea West Ham kwa kile kilichodaiwa Mabosi wa pande zote mbili wamekubaliana.
 West ham, lakini baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Leicester: akasema 
kuwa "Sielewi nini kilicho tokea kwani nimeambiwa tu kwamba Darren 
amekwisha kusaini West ham".
"Lakini kwa mara ya mwisho walikuwa wakiangalia upande wa pesa kabla ya makubaliano hivyo sielewi kilichotokea."
Van
 Gaal aliongeza kuwa "Kama unamruhusu mchezaji wako kwenda kufanya 
vipimo vya afya haina tatizo,kwani mpaka mwisho makubaliano yalikuwa 
bado."
West
 Ham wana lengo la kuwasajili Fletcher na Valencia kabla ya dirisha la usajili halija fungwa.



Maoni
Chapisha Maoni